Mafunzo kwa wakulima juu ya mfumo wa uhifadhi wa mazao ( Mahindi) na kuyauza wakati Bei zikiwa juu (CMA-Collateral Management Agreement) yaliyotolewa na aliyekuwa Mrajisi Msaidizi wa Mkoa wa Rukwa wilayani Nkansi
1 comment
Benjamin Mwangwala
February 10, 2022
Hongereni sana. Jitihada zeno za kujitangaza zisaidie upatikanaji wa uwekezaji ndani ya Mkoa wa Rukwa kutoka nje ya Mkoa na nje ya nchi kwa kutumia Chama Kikuu cha Ufipa kwa ustawi chanya wa Wanachama na jamii ya wana Rukwa