Ziara ya Waziri wa kilimo (mb) Mh. Hussein Bashe mkoa wa Rukwa tarehe 5 January 2023. Katika Ziara hii Waziri alitembelea mradi wa umwagiliaji wa Kisa uliopo bonde la ziwa RUKWA. Mwenyekiti wa bodi ya Ufipa Cooperative union Ndugu. Adabeth Oswadi Mbuyani aliungana na Waziri katika Ziara hiyo.