Ikiwa ni muendelezo wa mafunzo yanayo endelea kutolewa kwa wadau wa kilimo ndani ya Mkoa wa Rukwa, Leo alhamisi ya tarehe 02/03/2023 Wabunge pamoja na kamati ya ulinzi ndani ya Mkoa wameridhia na kutoa baraka zote mfumo huu kuendelea kutumika. Hata hivyo mfumo huu utasimamiwa kwa asilimia kubwa na Ufipa cooperative union. Wakulima watavitumia vyama vya ushirika vilivyopo kwenye maeneo Yao huku chama kikuu kikiratibu zoezi Zima.
Zoezi litakalo endelea nikuhakikisha vyama vyote vinafikiwa Ili vipewe mafunzo