Chama kikuu cha Ushirika Mkoa wa Rukwa (Ufipa Cooperative Union – UCU) kinakutakieni nyote Kheri ya Wiki Kuu na Sikukuu ya Pasaka. Muwe na Sherehe Njema zitakazo kuwa chachu ya Upendo na Amani katika Familia na Jamii yote inayo tuzunguka.
Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Rukwa Ufipa Cooperative Union (UCU) Kwakushirikiana na Uongozi wa Serikali ya Mkoa wa Rukwa, imefanya Mkutano Mkuu wa Kawaida tarehe 04.04.2023 na Vyama vya Ushirika Mkoa wa Rukwa kwa ajili ya kupanga Mipango Mikakati ya kuendana na Mfumo wa Stakabadhi Ghalani. Mfumo wa Stakabadhi Ghalani ni aina ya Biashara
Bodi ya Mfumo wa Stakabadhi Ghalani imefanya kikao tarehe 16.03.2023 na Bodi ya Chama Kikuu Cha Ushirika Mkoa wa Rukwa (Ufipa Cooperative Union – UCU) Kwa lengo la kujadili namna ya uendeshaji wa mfumo katika mkoa wa Rukwa. Uanzishaji wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala ndani ya Mkoa wa Rukwa umekwisha tiwa baraka na uongozi
Chama kikuu cha Ushirika Mkoa wa Rukwa (Ufipa Cooperative Union – UCU), kimefanya kikao tarehe 15.03.2023 na Mwamvuli wa Uchirika nchini Tanzania (Tanzania Federation of Cooperatives – TFC) mara baada ya mwamvuli huu kutembelea Mkoa wa Rukwa Nna kujua hali na Afya ya Ushirika ndani ya Mkoa wa Rukwa. miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa nipamoja na
Ikiwa ni muendelezo wa mafunzo yanayo endelea kutolewa kwa wadau wa kilimo ndani ya Mkoa wa Rukwa, Leo alhamisi ya tarehe 02/03/2023 Wabunge pamoja na kamati ya ulinzi ndani ya Mkoa wameridhia na kutoa baraka zote mfumo huu kuendelea kutumika. Hata hivyo mfumo huu utasimamiwa kwa asilimia kubwa na Ufipa cooperative union. Wakulima watavitumia vyama
Akielezea namna wanaushirika waliopo Mkoa wa Rukwa Mwenyekiti wa kamati ya pembejeo Bw Hance Sampala ameelezea kuwa musimu huu wa kilimo wanaushirika wamenufaika vyema na Mbolea za ruzuku. Lakini pia ameelezea namna wanavyojipanga kwa msimu ujao kuwa wapo kwenye mikakati ya kuhakikisha wanaviingiza vyama vya ushirika kuwa mawakala wa pembejeo kwa msimu ujao wa kilimo
Wanachama wa Ufipa cooperative union wa Matanga women Amcos na Mbala AMCOS iliyopo laela wakumbwa na janga la mvua ya mawe iliyoharibu Mazao Yao zaidi ya ekari 50. Mvua hiyo ilinyesha jumapili ya tarehe 12/02/2023. Hata hivyo bank ya Nmb ambao ndio waliowakopesha mkopo wa kilimo wameanza ziara ya kuwatembelea wahanga ili kufanya tathimini ya