Watendaji wa vyama vya msingi vya ushirika ( Amcos) wakiwa kwenye picha ya pamoja siku ya ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili ya tarehe 6,7/01/2022 ya kuwajengea uwezo na utunzaji wa kumbukumbu za vyama. Wa katikati kwa walio kaa ni Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga ndg Sebastian Waryuba
Read More