Mafunzo kwa wakulima juu ya mfumo wa uhifadhi wa mazao ( Mahindi) na kuyauza wakati Bei zikiwa juu (CMA-Collateral Management Agreement) yaliyotolewa na aliyekuwa Mrajisi Msaidizi wa Mkoa wa Rukwa wilayani Nkansi